kama mpaka mkuu keshasema kuwa tupake grisi bhasi nisijefikwa namshangao pindi nitakapo fika k.koo nakuambiwa kuwa zimeshaisha na mzigo nimpka week ijayoHehehehehe wapi mapema mwaya, sass hivi grisi itakuwa dili kuliko makinikia na itakuwa bidhaa muhimu kuliko sukari.
kama mpaka mkuu keshasema kuwa tupake grisi bhasi nisijefikwa namshangao pindi nitakapo fika k.koo nakuambiwa kuwa zimeshaisha na mzigo nimpka week ijayo
hahaaa tupake grisi tumeshakuwa mashine sasa na machine zitatumia nini ...sindio mwanzo waku nock engine huu...
lakini mkuu kesi serikali hii siilipiga marufuku kuhusu matumizi ya vilainishi....hahahaaaaa
Hivi wanyamwezi nao wanakeket ile kitu au kama siyo naja kuoa ila ikiwa ndio nooooohUlimholaaa ......
Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.
View attachment 654603
Karibuni karanga...
View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....
Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.
Koolooompaaaa.
NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.
Kasie Mahabat Matata Motoo.
hahaaa kwaheriMmhh ngoja tuliache hili jambo hapo umekumbushia vilainishi tusijeambiwa tu wachochezi hehehehehe
Hahahahaha....zipo nzuri sanaSema mabanda yenu...Tabora hakuna nyumba.
Hahahha....naogopa naweza kukosea kwa kuandikaMwadelaa mayuuu
Hahaha..humu jf watanikosoa mpk ntajuta kuijaribuHehehehehe usiogope unagangamala hivohivo tusipoiongea lugha inapotea hiyo heheh
Lazima niwapige biti mana wanakuja kasi sn na kuanza kusifia Mara oooh wanawake wa Tbr kumbe macho kodo kwa Kasie wangu. Ujue mie napenda vibaya. Napenda for real hadi waweza ona keroHahahahaaa usiwapige biti hivo wazi wazi watanipania waniibe heheheheh
Lazima niwapige biti mana wanakuja kasi sn na kuanza kusifia Mara oooh wanawake wa Tbr kumbe macho kodo kwa Kasie wangu. Ujue mie napenda vibaya. Napenda for real hadi waweza ona kero
Pesa natafuta sn baby wangu maana najua Kasie wangu mie mapumziko yake ni Bahama island au Guam. Sasa bila kukazana ngosha mie si itakua balaa.Hahahahahhaa haya babaa atamia himaya yako wajue uko macho.
Ila wivu hautakiwi kuzidi sana wee wekeza nguvu nyingi kutafuta hela.
Hivi naomba kuuliza....
Tumbaku ina Nicotine ama Nicotine huwekwa kwenye tumbaku ikifika kiwandani tena kwa baadhi tu ya sigara..
Niliaminishwa kuwa sigara kali ni salama zaidi sababu haina nicotine ni tumbaku asilia..
Tafadhali
Asante nitatia timu hukoKaribu Tabora utaipata hadi ulewe.
Pesa natafuta sn baby wangu maana najua Kasie wangu mie mapumziko yake ni Bahama island au Guam. Sasa bila kukazana ngosha mie si itakua balaa.
Alafu isitoshe baby, mahaba bila ya wivu hayo si Mahala. Wacha mie nkupende vzr haswa na nikuonee wivu kabisa mana we ni wangu na wivu ni Suna....