Wee jamaa umenikumbusha mbali sana. Nimeiona mitaa ya home umeitaja hapo furahastoo hahaaa. Kanisa la biblia pale tulikuwa tunaiba sana faraj faraj enzi zetu. Na kule kwa masista misheni ya st alois iba sana ndizi.No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.
Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.
Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.
Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while
Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.
Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Kuna lile gorofa gofu la ilela sijui limekamilika sasa ivi au bado vilevile.Ghorofa ya kwanza Mbinga Mjini mali ya Bafreyi wamatengo huwaambii kitu kuhusu bafreyi
Hahahaaa wee jamaa ukute tunajuana. Hao kina majoba, hazara mdogoa ake athman na kei mdogo ake solomoni na siza nawafaham. Sijui wapo wapi mana mm nina kama 20 yrs nimepotelea kusiko julikanaHiv kile koghorofa chake Bado kipo
Watu wangu wa miaka hyo sjui Bado wapo MAJOBA (Nasikia rip) KEI LUPOGO HAZARA MZEE BABA TINKLA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, that's very important!No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.
Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.
Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.
Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while
Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.
Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Majoba alifariki... Si unamuongelea Majoba mtoto wa Rosta na mdogo wake Kandi kama sikoseiHahahaaa wee jamaa ukute tunajuana. Hao kina majoba, hazara mdogoa ake athman na kei mdogo ake solomoni na siza nawafaham. Sijui wapo wapi mana mm nina kama 20 yrs nimepotelea kusiko julikana
Teacher Tinkla... Kitambo sanaHiv kile koghorofa chake Bado kipo
Watu wangu wa miaka hyo sjui Bado wapo MAJOBA (Nasikia rip) KEI LUPOGO HAZARA MZEE BABA TINKLA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huyo huyo mtoto wa rosta. Duu RIEP majobaMa
Majoba alifariki... Si unamuongelea Majoba mtoto wa Rosta na mdogo wake Kandi kama sikosei
Nadhani alifia TunduruNdio huyo huyo mtoto wa rosta. Duu RIEP majoba
KindimbaUmepasahau Matili
Ni sahihi kweli mkuuNina rafiki yangu mmoja wa kike nili kutana nae Twitter anaitwa Dorothy ana ishi SONGEA sehemu inaitwa MPITIMBI.
Aliwahi kuniambia SONGEA ni wakulima hodari wana lima sana mahindi kama una mtaji una weza kuwekeza kwenye kilimo SONGEA, hatimaye kupata matokeo chanya.
Karibu mkuu. Sasahivi tupo tunavuna tu mazaoSongea bana.
Kuna majengo,boi,mateka,mshangano,lizaboni,ruhuwiko,litapwasi,msamala,bombambili,mji mwema,mfaranyaki, mliyayoyo,madizini matarawe ,
Kweli unamfahamu jina lake n Erick hyera vp unawafahamu akina Baptist kapinga na isdori sanga pamoja na tuzo hyera?Teacher Tinkla... Kitambo sana
Kabisa mkuu Nina miaka 20 Sasa sijaenda songea ubize wa Kaz lakn Ni eneo zur Sana mm nilipita advance pale kigonsera na hao nilio wataja walikuwa o levelHahahaaa wee jamaa ukute tunajuana. Hao kina majoba, hazara mdogoa ake athman na kei mdogo ake solomoni na siza nawafaham. Sijui wapo wapi mana mm nina kama 20 yrs nimepotelea kusiko julikana
Hivi huyo Erick hyera si ameshawahi kufundisha pale chuo cha maendeleo Mbinga FDC?Kweli unamfahamu jina lake n Erick hyera vp unawafahamu akina Baptist kapinga na isdori sanga pamoja na tuzo hyera?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Daima nitapapenda songea
Daima nitapapenda yapenda mtini
NaaamSongea town View attachment 2654694
Tinkla anafundisha mkwaya primaryHivi huyo Erick hyera si ameshawahi kufundisha pale chuo cha maendeleo Mbinga FDC?