Karibuni Songea

Aisee. Ila kitambo sana toka nije huko around 2008, ngoja nikipata nafasi nije kushangaa palivyobadilika
Yeah pamebadilika sana coz vijumba visivyoeleweka vifupi vilivyo katikati ya mji wameambiwa wamiliki waziboreshe na kama hawana uwezo wauze
 
Songea kwenda usiku, kuondoka usiku taabu yote ya nini?
 
Dah! Nyumbani ni nyumbani tu. Nimeyamisi maeneo ya litola, Namtumbo, Mgomasi, Nambecha kwa wakulima wa tumbaku dah! Mateka kwa mama sabena, Matogoro... Acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…