K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Dec 10, 2011 #1 vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu!
vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu!
S Simsam Member Joined Dec 5, 2011 Posts 6 Reaction score 0 Dec 10, 2011 #2 usihofu twaja hasa bariadi.
T tisa desemba JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 434 Reaction score 115 Dec 10, 2011 #3 Simsam said: usihofu twaja hasa bariadi. Click to expand... hasa Gamboshi, pana fursa nyingi sana pale...
Simsam said: usihofu twaja hasa bariadi. Click to expand... hasa Gamboshi, pana fursa nyingi sana pale...
I Imurumunyungu Senior Member Joined Nov 27, 2011 Posts 108 Reaction score 17 Dec 10, 2011 #5 Tutakuja kuna Mbuga nzuuri saana kwa ajili ya kilimo pale kijijini JISESA Ngasamo wilayani MAGU.Kuna mto Ngasamo,mto Duma yote hii ni mito mizuri saana kwa kilimo cha umwagiliaji.
Tutakuja kuna Mbuga nzuuri saana kwa ajili ya kilimo pale kijijini JISESA Ngasamo wilayani MAGU.Kuna mto Ngasamo,mto Duma yote hii ni mito mizuri saana kwa kilimo cha umwagiliaji.
EasyFit JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 1,269 Reaction score 1,082 Dec 10, 2011 #6 Kubingwa said: vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu! Click to expand... Asante hebu tudokeze hizo fulsa specific kama ni za kujiajiri tuambie kwenye secta gani kama ni kazi gani zimetangazwa...lakini tunakuja.
Kubingwa said: vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu! Click to expand... Asante hebu tudokeze hizo fulsa specific kama ni za kujiajiri tuambie kwenye secta gani kama ni kazi gani zimetangazwa...lakini tunakuja.
Ngisibara JF-Expert Member Joined Jan 2, 2009 Posts 3,413 Reaction score 2,275 Dec 10, 2011 #7 Kubingwa said: vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu! Click to expand... Vipi kule Ikungulyabashashi mboga bado zinapatikana?
Kubingwa said: vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu! Click to expand... Vipi kule Ikungulyabashashi mboga bado zinapatikana?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 10, 2011 #8 Fursa zipi hizo?