Karibuni Pamoja Building Society-PBS

uhojoli

Member
Jun 30, 2012
18
45
KARIBUNI WAGENI
PAMOJA BUILDING SOCIETY

Asante kwa kuwa nasi, Tumeamua kutumia fursa hii ili kuondokana na umasikini hasa kwa wajasiliamali wenzetu. Karibuni pamoja tujenge jamii yetu.

NAMNA YA KUANZA
(1) Daraja la kwanza utaweka *SH 10,000/-, Utachangiwa na watu wawili na utapata SH20,000/-, Ili uweze kupanda daraja utatoa SH 15,000/- na utabakiwa na SH 4,000/- , SH 1,000/- yakuzungushia mfumo.

DARAJA LA PILI
(1) Utawekeza SH 15,000/-, utachangiwa na watu WANNE. Utapata SH 60, 000/-.Ili uweze kupanda daraja utatoa *SH 20,000/-*na utabakiwa na *39,000/-, *1,000/-*kwa ajiri ya kuzungushia mfumo.

*DARAJA LA TATU

(1) Utawekeza sh. 20,000 na utachangiwa na watu NANE, Utapata SH 160, 000/-. Ili uweze kupanda DARAJA, utatoa 60, 000/-.Utabakiwa na SH 99, 000/-. SH 1,000/- kwa ajiri ya kuzungushia mfumo.

DARAJA LA NNE

(1) Utawekeza SH 60, 000/-, ambapo utachangiwa na watu 5. Utapokea *SH 300, 000/-*utabakiwa na sh. 300,000/-na hii ndo hatua ya mwisho

Karibuni, Hapa ndio mahala penye usalama wa pesa zako

PAMOJA BUILDING SOCIETY

Namba ya kutuma ni hii 0753704193

Hakikisha unatumia namba hiyo hadi pale uongozi utakapotoa nyingine.

ASANTE

karibu ujinge uanze kula matunda ya hela yako mapema
PAMOJA BULDING SOCIETY
TUMA PESA KWA 0753704193 JINA LITAKUJA ATUGANILE MBWELE
10000/=
THEN INBOX NA SCREENSHOT YA MUAMALA WAKO KWENDA KWA ADMIN YEYOTE ..
Asante

Naomba wenye kujua ukweli wa society hii, nimeiweka hapa ili Watu waweze kujua Risk zilizopo ili mtu akiingia iwe kwa Risk yake mwenyewe na pia Kisheria za BOT jambo kama hili limekaaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom