View attachment 81530
Huku ni nyuma ya nyumba nadhani mtaenjoy vyakutosha.
Si nitapotea chumba changu cha kulala kila siku?
Hii kwa bongo paa lako lazima liwe jalala la jirani yako wa juu, utamwagiwa ukoko na mabaki ya chakula mpaka ushangae
Si nitapotea chumba changu cha kulala kila siku?
utapoteaje na utakuwa na best yako hapa ambaye ndio mchoraji wa ramani ya mjengo huo...
ukiwa getini nibip niwe nakuja kukuchukua ili usipotee
Hautapotea kwani ramani ya nyumba atapewa kila mmoja.
Ondoa shaka juu ya hilo.
Kwani wewe unahusika na haya maujuzi? Si naskia umespesholaizi kwenye ukaguzi kama ODM?
Wewe utataka kupotelea kitandani kwangu lol
Mmmmmhhhhhh hayo ni mateso bila chuki.hivi huyo aliyeidizain hiyo nyumba alikuwa na mpango gani?kukomesha wapangaji wake au ,nimetafakari hata jibu silipati.