Karibuni nyama choma wapendwa!!!

Weekend ndio hiyooooo imeshaanza...na mimi ninaianza kama ifuatavyo...karibuni nyama choma wapendwa!!!


Dah we ndugu wewe mbona unatufanya mate yatujae midomoni? Halafu hizi za kuzipata ni uswazi uswazi...kwa Mangi au kwa Wagogo
 
Dah we ndugu wewe mbona unatufanya mate yatujae midomoni? Halafu hizi za kuzipata ni uswazi uswazi...kwa Mangi au kwa Wagogo

ha ha haaa!!! usiishie kumezea mate mkuu...jongea mezani tule wote.
 
Young Master siku hizi unatutoka kimwili sana, au ndio ulikua unakata hii nyama? siku zote hz lakn?
 
Yani Young Master,unavyoitamka hiyo Wapendwa utafikiri kweli vile, dah endelea tu sisi tutakusaidia mate ya kumezea.
 
Kuna watu hawajui kula nyama choma....aisee kwa vitu hivyo mimi haipiti bado
 
Young Master siku hizi unatutoka kimwili sana, au ndio ulikua unakata hii nyama? siku zote hz lakn?

Mimi nipo mkuu ila huwa napiga patrol la juu kwa juu...wewe tuma PM uone kama sitakujibu.
 
Yani Young Master,unavyoitamka hiyo Wapendwa utafikiri kweli vile, dah endelea tu sisi tutakusaidia mate ya kumezea.

Kwani unadhani mimi nawatania? mimi nawakaribisha kweli eti...wewe endelea kung'aa sharubu wakati wenzako wanaendelea kutupia vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…