Karibuni moshi aisee

Moshi washaanza kuchoka siku hizi....na wasipoangalia watapoteza umaarufu kabsaaaa
 
hapo umefika bwashee,...kila kitu utapata




Kwa picha hii nakata rufaa kwa invisible aiondoe,maana mimi sina kawaida ya kutokwa mate kwa picha za mtandaoni lakini kwa hii naona udenda umenitoka na kunikumbusha mwaka1997 nilipokuwa nikienda kwa bibi Manguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…