Karibuni moshi aisee

ahsante ila mimi nataka maparachichi ntayapata.?
 
Hah ha haaa. Safi sana Speaker, You have made my Morning. Lets make more money Mangi.
 
Maparachichi yapo ila sio unatumia kwa matumizi yasiyofaa chalii wangu
 
ungeweka kitu cha mlima kilimanjaro kwenye iyo logo ingekuwa tamu sana.
 
Yapo full,uwezo wako tu wa kula........
Usisahau kukaa karibu na cho** lakini maana kazi yake duh
duh hivyo lilivyo ukapaka kwenye mkate unaweza kumaliza mkate mzima bila kujijua, jamani unanitamanisha ghilo parachichi kha mpka mate yamenijaa.
 
duh hivyo lilivyo ukapaka kwenye mkate unaweza kumaliza mkate mzima bila kujijua, jamani unanitamanisha ghilo parachichi kha mpka mate yamenijaa.

Ni moja kati ya matunda napenda sana yani.
Tengenezea juice ukichanganya na maembe..............uta jiramba
 
Ni moja kati ya matunda napenda sana yani.
Tengenezea juice ukichanganya na maembe..............uta jiramba
bila kusahau uchanganye na passion jamani acha tu utakula kama kiwavi jeshi. hivi msimu ndo umeanza eeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…