donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kuna uzi wa vyakula tu njoo kule ujiachie
Hahah, hapana mkuuNawe kwa kupenda kuweka misosi hapa jf photo bana! Una mgahawa nini mkuu?
Aisee huu uzi sijui kwanini nikiunfungua kwa jf app unanitaka nikafungue tena kwenye browserKuna uzi wa vyakula tu njoo kule ujiachie
Mkuu huo ni udambwi fulani umetiwa nakshi pale katiYai gani hilo lina madoadoa meusi Bwana Misosi
Upate kupitia GoogleAisee huu uzi sijui kwanini nikiunfungua kwa jf app unanitaka nikafungue tena kwenye browser
Hiyo nyeusi ni pilipili ya wachawi, muulize Mshana JrYai gani hilo lina madoadoa meusi Bwana Misosi
anhaa kumbeMkuu huo ni udambwi fulani umetiwa nakshi pale kati
kumbe pilipiliHiyo nyeusi ni pilipili ya wachawi, muulize Mshana Jr
"Karibuni Mezani"Moderator hii topic mbona haina title? vitu kama hivi havitakiwi
Hahaha breakfaa mkuumkuu hii ni mboga au ?