Karibuni mbege...

Inamaana umekimbilia usambaani baada ya kutoroka Milembe day? Anyway tar.23 unishtue twende wote Kishumundu tukanywe mbege na kisusio[emoji6]
Aisee, kwa haya maji ya huku ya kuoga yanavyonukia nafikiri kuna haja ya kwenda kishumundu tar 2 January na kugeuza siku hiyo hiyo, nasikia kuna baridi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…