Karibuni mbege...

*****...kitu hiyo...nakuja nakuja mkuu!
 
Goba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006
Nimekunywa mbege apo nikiwa kama niliye zaliwa kwenye jiko la mbege hii mbege kuna wine mbaya imechanganywa wanywaji wa mbege wakiangalia wataona kama ina rangi nyekundu kama red wine fake achani kuchangamya mbege na pombe nyingine acheni wateja wachanganye wenyewe
Angalizo iyombege imenizingua Sana Sana kama mtaendelea kuchanganya na wine au gongo mta tuuwa Ila me sita kunywa mbege tena hapo atakaye kumywa angaliye ulimi wake lazima uwe na rangi nyekundu wekeni mbege halisi mtapata wateja Ila hii ya kuchanganya mmeumiza kichwa changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…