Teh teh teh!kwani kuna tofauti gani kati ya nazi na dafu?je moja linaweza likawa tunda najengine siyo?Hapo hakuna nazi, hayo ni madafu, nazi sio tunda ni kiungo cha mboga
Teh teh teh!kwani kuna tofauti gani kati ya nazi na dafu?je moja linaweza likawa tunda najengine siyo?
Hilo Tunda lipo kama mfano wa papai lakini sio papai huko nyumbani naona halipo hilo tunda lipo nchi za ulaya au uarabuni Pretatunda gani hilo lililonyefukanyefuka MziziMkavu....liko karibu na hizo ndizi za green........?
Nimepata Ilimu hapa!.Kama wewe ni mwanaume.. pendelea kula mbegu zake kwani zinaongeza mbegu za kiume!!!
Teh teh teh!sawa mkuu!Naam hiyo ni sawasawa na uji na ugali, uji ni kinywaji na ugali ni chakula ingawa unga ni mmoja!
Thanks for ya' advice,ofcoz im a man CL,i didnt know why nowdays m more than strongKama wewe ni mwanaume.. pendelea kula mbegu zake kwani zinaongeza mbegu za kiume!!!
Nadhani ni doriani. Harufu yake ... usipime!
Madafu ni nini?Mkuu Mkeshaji Sio nazi hayo ni madafu mkuu..............
Hii messi imekaa kiZnZ
nataka doriani.........nani anajua mahali nitapata doriani........
Madafu ni nini?
Kwa hiyo ni nazi!Nazi ambazo hazijakomaa.
Kwa hiyo ni nazi!