Karibuni kwenye semina wadada wa chit chat

Duuuu...qualification ni ubikira???? kazi ipo... lara 1 semina hii inakuhusu ukuje fasta
 
Last edited by a moderator:
Hata watoto waliozaliwa leo hawana bikra sembuse hawa wenye kujua keybod
 
Mbona umewatukana hao uliowaita kwenye hiyo semina, yaani hao wote wamebakiza bikra za masikioni tu
 
Palipo mwanamke kuna mafanikio, pia palipo mwanaume kuna mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…