Karibuni kwenye mkutano wa Injili

Karibuni kwenye mkutano wa Injili

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,292
Maeneo ya stend ya Passias - Mwanza kuna jambazi mstaafu aliyeokoka anatoa ushuhuda jinsi alivyovamia mabenki na kuua.
Anadai hakuna ujambazi wowote wa bank unaotokea bila polisi na mkuu wao kushirikishwa.
 
hahahhah KakaJambazi bwana au niwewe mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

asije akatiwa nguvuni kama mtekaji wa Uli
 
Nawashauri watu wasiende kwenye mkutano huo maana watu kama hao ni JANGA LA KANISA wamekuwa kila mtu anazuka ki-vyake vyake na kudai mimi nilikuwa Jambazi au mimi nilikuwa Mchawi wengine Nilikuwa Sheikhe sasa nimeamua kuokoka kumbe ana lake jambo Mwisho wa yote huishia Kutapeli watu kanisani.
Kama alikuwa Jambazi na akaamua Kuokoka basi akae chini apewe mafundisho sasa kuanza tena kuwaweka chini watu na kuanza kutuhubiria Ujambazi wake au Uchawi wake au U-Sheikhe wake sisi hautusaidii kabisa Maadamu yeye ameamua kubadirika basi akalishwe chini afundishwe NENO na si Kutukalisha sisi na Kutufundisha Ujambazi wake WACHUNGAJI kwa hilo AMKENI Mnatuangusha sana.
 
Back
Top Bottom