Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Jan 10, 2013 #21 Nawatakia kila la heri mtakao enda mtuwakilishe ambao hatutaweza kuja. Asante Remmy kwa mwaliko. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Jan 12, 2013 #22 count me in please
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Jan 12, 2013 #23 kila mtu anahusika si ccm wala cdm...
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Jan 12, 2013 #24 Filipo said: Hewaaaaaah! Habari ndio hiyo! Click to expand... hata hii thread mnachakachua?
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Jan 12, 2013 #25 ndetichia said: kila mtu anahusika si ccm wala cdm... Click to expand... ni kweli mkuu, vipi utakuwepo?
ndetichia said: kila mtu anahusika si ccm wala cdm... Click to expand... ni kweli mkuu, vipi utakuwepo?
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Jan 20, 2013 #26 Kupotezeana wakati tu, hakuna kitachomsaidia saa hizi ila amali yake tu.
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 Jan 20, 2013 Thread starter #27 zomba said: Kupotezeana wakati tu, hakuna kitachomsaidia saa hizi ila amali yake tu. Click to expand... Hahaaaaa Wenzio walijifunza mengi sana.
zomba said: Kupotezeana wakati tu, hakuna kitachomsaidia saa hizi ila amali yake tu. Click to expand... Hahaaaaa Wenzio walijifunza mengi sana.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,934 Jan 21, 2013 #28 Remmy said: Hahaaaaa Wenzio walijifunza mengi sana. Click to expand... mwambie huyo ilkuwa fantastic sana;angekuwepo angefurahi na kuondoa mastress yake ya siasa
Remmy said: Hahaaaaa Wenzio walijifunza mengi sana. Click to expand... mwambie huyo ilkuwa fantastic sana;angekuwepo angefurahi na kuondoa mastress yake ya siasa
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,179 Reaction score 64,555 Jan 21, 2013 #29 Remmy said: Hahaaaaa Wenzio walijifunza mengi sana. Click to expand... 😛oa: mia
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,934 Jan 22, 2013 #30 figganigga said: 😛oa: mia Click to expand... mkuu niliona bidii yako siku ile peacock ulikuwa very busy; hongera sana ulijitoa vizuri sana Mungu akubariki
figganigga said: 😛oa: mia Click to expand... mkuu niliona bidii yako siku ile peacock ulikuwa very busy; hongera sana ulijitoa vizuri sana Mungu akubariki
mimisa JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,511 Reaction score 1,441 Jan 22, 2013 #31 Naamini nitakuwepo..Tuombe uzima