Karibuni Kwa Mkulo CHADEMA

Karibuni Kwa Mkulo CHADEMA

Emmanuel Luoga

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
111
Reaction score
29
Jimbo La Kilosa Kati Ni jimbo Gumu Sana Kwa Historia Yake Miaka Yote CCM Wanashinda Wao Tu Ila Uchaguz Huu Umetufanya CDM Kupumua Kwa Aman Na Kutembea Kifua Mbele Kwa Sababu Tumeshinda Robo Tatu Ya Jimbo Yaaan Hata Sijui Nitoe Pongez Gan Kwa Wananch Lakin Pongezi Kwa CCM wenyewe Maana Inaonekana Wao Kwa Wao Wanaipenda Sana CDM Ndo Maana Makao Makuu Ya CCM Pia CDM Kachukua Kwa Kishindo Na Leo Tumetoa Pongez Kwa Wananch Wa Kilosa Kati Kwa Maamuz Yao Kesho Tutakuwa Na Kikao Na Wenyevit Na Wajumbe Wetu Wote Kupeana Maelekezo Ombi Langu Kwenu Karibun Sana UKAWA Tufanye Campein Maana Sisi Ndo Tumeanza Rasm Hivyi Tutaenda Kila sehem
 
UKAWA wakijipanga huyu Muhuni Mkulo watamchomoa tu mana yale manoti aliyoiba akiwa MoF atayatumia kulaghai watu
 
Mwenye Namba Ya Cm Ya Alphonce Mawazo Naomba Napenda Sana Hutuba Zake Huyu Jamaa nataka Nimnunue Aje Afanye Kaz Kwangu
 
Back
Top Bottom