Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Kichomi kinanisumbua upande wakushoto kwenye ziwa natumia antibiotics kinapoa badae kinarudi ,
 
Mkuu mwili wa mdada kutoa harufu/jasho lenye harufu kali shida nini?
 
Kikohoz kichoiSha kinasababishwa na minyoo?
Ziko sababu nyingi zinazosababisha kikohozi sio minyoo pekee. tujaribu kuhusisha dalili hizi kwanza ndio tushuku hao minyoo ama tatizo tofauti 1 kama unakohoa pekee na unapata homa au unakohoa na ukaambatanisha na tatizo lolote jingine iwe kutapika ama kuharisha na unapata na homa basi tatizo sio minyoo ni tatizo la bacteria ambao wanahitaji matibabu ya antibiotic cha msingi hapo ni vipimo 2 kama unakohoa pekee na haupati homa basi unaweza kua na minyoo au kama unakohoa na ukaambatanisha na tatizo lolote iwe kuharisha au kutapika na hupati homa tatizo ni minyoo hapo ni muhimu kupima ili ujue ni aina gani ya minyoo waliopo ili utumie dawa halisi
 
Ok mm. Naahisi tumboni upande wa kulia na kushoto na katikatiya tumbo nahisi km vichomi na wakati mwengine km kuwaka moto na nahisi vitu km vitu vinarun
 
Kichomi kinanisumbua upande wakushoto kwenye ziwa natumia antibiotics kinapoa badae kinarudi ,
Tatizo lako liko kwenye moyo (heart attack) ila bado halijawa Kali likiwa kali unaweza kua unaanguka na kupoteza fahamu Jaribu uwahi kwenye uchunguzi kabla tatizo halijawa kubwa usije moyo ukapata kovu
 
Ni kwa miaka ya sasa ugonjwa wa U.T.I umekuwa tatizo sana kuliko miaka ya nyuma?
 
Kwanini mdomo wangu unanukia marashi 24hrs hata pasipo kupiga mswaki
 
Ok mm. Naahisi tumboni upande wa kulia na kushoto na katikatiya tumbo nahisi km vichomi na wakati mwengine km kuwaka moto na nahisi vitu km vitu vinarun
Hali hiyo Mara nyingi hutokea wakati gani kati ya hizi?1 ukiwa unanjaa 2 ukiwa umeshiba 3 ukiwa umelala kwa muda mrefu au 4 hua inatokea ukiwa unamawazo 5 au hua inatokea ukiwa umeshikwa haja kubwa ama haja ndogo ama ukiwa umeshiba inatokea na ukiwa na njaa inatokea Tafadhali nijibu hayo ili nishuku tatizo lako ndugu ili uwahi Hosp kwa Huduma stahiki
 
Mwanzo ilikuwa nikiwana njaa upande wa kulia nahisi km moto karibu na mbavu ila kipindi hichi km week week mbili naona imekuwa mfululizo
 
Miguu kufa ganzi na kuwaka moto nn tatizo na pressure ipo nomal kabisa na saa nyingine vidole vya miguu vinakuwa Vina pwita kama kuna mduu ndani yake au usahaa
 
Mwanzo ilikuwa nikiwana njaa upande wa kulia nahisi km moto karibu na mbavu ila kipindi hichi km week week mbili naona imekuwa mfululizo
Ndugu kutokana na Maelezo yako unaweza kua na Vormiform Appendex ima ningeshauri ufike kwenye kituo cha afya ufanyiwe uchunguzi kwani dalili kama hizo kuna wakati zinaweza ingiliana na dalili za kidonda kwenye utumbo mpana
 
Back
Top Bottom