Karibuni kula!!

Karibuni kula!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1426686073642.jpg
 
ooh! mie uzuri siendekezagi ulaji wa haya masoseji.
nagonga vitu natural kama viazi vya kuchoma, na mihogo ya kuchoma ukiukuta ule mlain ule na kachumbari lol!
Exactly !! Endelea hivoivo... Mmh maana hapo juu ni maJunk food !!
 
Mkuu utafiti, mie sishibi vya hivi, naomba ugali na samaki wa kukaanga na pembeni kuwe na mchicha. Usisahau pilipili mbuzi na gudulia la maji lol!
 
Last edited by a moderator:
Hii combo nimeipenda kwa kweli. Ukila usiku hii huoti ndoto za kutisha

Umesahau Pia Kusema Ukila Chakula hichi Utaishia Kulala Mzungu Four tu na Mwenzi wako. Vyakula kama hivi Haishauliwi Kuliwa na Mwanaume Mchapa kazi. Hii ni Menu ya akina dada. Avoid eating these types of Lojolojo, "It will be flabby and loose all the time", Take care man.
 
Ni ubunifu wa kinyumbani nyumbani, nimeupenda.

Kama hukubahatika kuyaona maandalizi na ukakuta maakuli yameshaiva unaweza sema ziliingizwajwe ingizwaje
 
Mkuu utafiti, mie sishibi vya hivi, naomba ugali na samaki wa kukaanga na pembeni kuwe na mchicha. Usisahau pilipili mbuzi na gudulia la maji lol!

Duuh BAK unakula hapa au unafunga??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom