Karibuni kisiwa cha Pemba jamani

Karibuni kisiwa cha Pemba jamani

Wonderful!! sasa bango kama hilo kalibandike Buguruni, uone kama hutopigwa mawe!!
ila wamesahau mstari mmoja
"KWA MAKUBALIANO RASMI, TUNARUHUSU KUINGIA MWANAUME NA MWANAUME"
Au ndo umeedit mkuu MziziMkavu

acha ny***g* na us***ng** unavyoona hio ni tabia yako kufanywa hvyo dont think kwamba wa2 wote wako km wew sisi watu wa jazira hatutambui km mwanaume anaweza kumlala m,ume mwenzake takwimu zinaonyesha kwamb arusha kunaongoza kwa ushoga tz ndio maana mp wao ni mtaalam wa masuala ya mini kbg a
g kw hyo hayo mambo yaishie hko hko upand w pli wa shlng ucfkirie km na huku yapo na wla hayotofika inshallah
 
Last edited by a moderator:
377928_351445054872078_1612167015_n.jpg

Kungekuwa na double like!
 
Wonderful!! sasa bango kama hilo kalibandike Buguruni, uone kama hutopigwa mawe!!
ila wamesahau mstari mmoja
"KWA MAKUBALIANO RASMI, TUNARUHUSU KUINGIA MWANAUME NA MWANAUME"
Au ndo umeedit mkuu MziziMkavu

Umeambiwa ndowa na wao kama wana vyeti vya ndowa kwanini wasiruhusiwe?
 
yaani wao wanawadha ngono tu,kukodi chumba ukiwa na mwanamke sio kama mnaenda kufanya ngono wengine wanaenda kuongea biashara zao

Haizuiliwi kwasababu ya ngono kwani mtu na mkewe hufanya kitendo hicho hicho!
 
Sasa MziziMkavu cha ajabu nini hapo, nyie huko bara ndo mwajiendea tu holela katika nyumba za wageni bila kulinda madili huku kwetu Pemba shurti kwa certificate kudhibitisha uhalali wa mwanamke uliye naye, hatutaki uzinzi huku
Kwenu pemba mpaka muwe na vitambulisho vya ndoa ndio munaweza kulala Hotelini kasheshe kweli.
 
hii watu wanaweza kupeleka vyeti feki pia...
 
Back
Top Bottom