Karibuni kijijini kwetu jamani.

Kuna "ugonjwa" gani huko!?

Baba V kwani we hujui kupenda ngoma, majungu, umbea, fitina,chuki,uvivu, kupenda kucheza bao 24/7, kukaa vijiweni, kupenda kurogana kwa mabusha na husuda ndio magonjwa common maeneo hayo?
 
Last edited by a moderator:
Baba V kwani we hujui kupenda ngoma, majungu, umbea, fitina,chuki,uvivu, kupenda kucheza bao 24/7, kukaa vijiweni, kupenda kurogana kwa mabusha na husuda ndio magonjwa common maeneo hayo?

Mkulu Bujibuji nimekusoma, afu umesahau kuongeza "chumaulete".ndo habari inayobamba pande hizo...
 
Last edited by a moderator:
Karbuni kwetu.....................

 
kuna maeneo ya ujenzi kweli MadameX
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…