Karibuni katika harusi yangu wana JF

hash???????????
I dreamed of a wedding of elaborate elegance,
A church filled with family and friends.
I asked her what kind of a wedding she wished for,
She said one that would make me her husband....
just thinking aloud.....hongera sana chamajani
 
Wana JF, next friday ya Ijumaa ijayo kutakuwa na shughuli fupi ya arusi yangu ya mke wa pili. Nyooooote mwakaribishwa saaaaaaaaana.
Majibu kwa wasiofika tuna mwambia nani? Manaake mi sitafika wala staki kabisaa kwasababu unaoa li jimama.
 
Wala usishangae eehee, wala usishangae eheee kuona mtaani kwetu kuna sherehe wawili wapendanao wanafunga ndoa x 2 Na picha ya mahaba wanafunga ndoa x2
 
Ee!ee! Preta, wataka kuwa 'third but bad' wangu nn? Je ikitokea hyo henna na piko yako+uturi wako vinazidi waridi langu si itanladhimu pia kulichuma na hilo komamanga lako soonest! Ok join to ths real enlarging world of mathna,thalatha no more arba! There still 2 rooms open an may be one z 4 you(say inshllh). Kwani gari yaenda vizuri ikiwa na 4 wheels mamaa!

mmmmh....sitaweza kuwa tairi la tatu.....nitataka zamu zote za kulala ziwe zangu....so hapo italeta utata....am soreeee
 
Sijui mie niliumbwaje? Sipendi kusikia kuna mke mwenza, sasa wenzangu wanawezaje hata kulala usingizi wakijua fazahaus anajirusha na mwenzao?? Mwenzenu hili gumuuuu! Haya.
 
kweli nimeamini harusi ya pili haina mbwembwe.....:embarrassed:
 
Majibu kwa wasiofika tuna mwambia nani? Manaake mi sitafika wala staki kabisaa kwasababu unaoa li jimama.

Hujui kwamba tulishahama zamani kwa 'vijimiss' hata now vinaenda kwa wachina ili navyo viwe 'mijimama'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom