Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
na mtu yoyote akiwakaribisha kuleni kwa dhamiri..............Pweza wanadamu tunakula tu kwa ushupavu wetu, ukweli ni kwamba Muumbaji wetu hakuturuhusu tuwale hao viumbe. Ila nimeupenda mlo wako mkuu.