[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haya mkuu ngoja nipite et wanataka wamalize njaa zao [emoji1] [emoji1]wa mkoani wameharikwa kwenye sherehe wanataka wamalize njaa zao kwa siku moja
Na ndio maana wanaota vitambi visivyo na shepu maalum.Ratio ya msosi haiendani na body size ya walaji.Ni wameotea msosi mara moja au ni kawaida ila wanaku*ya sana?
Msosi mwingi ala afya....?Na ndio maana wanaota vitambi visivyo na shepu maalum.
Msosi mwingi ila affya/shape****** how comes?Hahahaha size Ipi unawafaa
"Haxiendi" ndio nini hicho wa mkoa?!Najua sa hivi mnatafuta Mnaitaga FAST FOOD zile take away... Sasa huku take away Zinawatia hasara wauzaji maana haxiendi kwa msosi huu
View attachment 388624
Awwwwww breakfast murua kabisa [emoji39][emoji39]View attachment 388641
Popo Bawa Anawapenda mana ni walaini walaini huko ... Mtu unakula chakula Kama Hikinunategemea nn ..
it's all about quality,not quantity...mbona umekaa njema sana..View attachment 388641
Popo Bawa Anawapenda mana ni walaini walaini huko ... Mtu unakula chakula Kama Hikinunategemea nn ..