Karibuni jamani supu hiyo ..............

Mzizi Mkavu
Hapo ndio kwenye ugonjwa wangu, huwa ninafanya kama kuvikaanga na spices( thomu, vitunguu, pilipili mtama, na tangawizi) halafu ndio natia mbogamboga kama celery, giligilani, pilipili mboga, viazi ulaya na carrots halafu unaweka maji sio mengi sana unaiwacha ichemke kidogo kidogo kama huihitaji vile
 
Hio supu inaonekana tamu....
 

hii imenivutia inaweza kusababisha kesho niende sokoni nikanunue vichwa tu na hivi huku tunakuku wa kienyeji bas full furaha
 
ukifika masoko yote dar, utawakuta wa mama wanasubiri vichwa, miguu, tumbo na ngozi pia kwa ajili ya kwenda kutengeneza kwa biashara uswahilini kwetu....
 
maisha ya sisi wa uswahilini raha sana yaani.
hakika kuna mitaab ya dar unaopoa dem kwa hivyo mboga aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…