Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
Ipo hospital maalum ya huo ugonjwa [emoji12] [emoji12]Hahaaa. Hivi ule ugonjwa ukianza dawa yake ni hospitali eee. [emoji2]
Ipo hospital maalum ya huo ugonjwa [emoji12] [emoji12]Hahaaa. Hivi ule ugonjwa ukianza dawa yake ni hospitali eee. [emoji2]
Wewe ndo huyo erica?Mmh #erry_cah22
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilihonga four figure, mweee, demu mwenyewe Kilaza hajawahi hata kuipata D moja ya Hesabu. Marks zake kila kukicha ni FFFFF
Hahaaa. Basi ukianza nitakutafuta bwana shemejiIpo hospital maalum ya huo ugonjwa [emoji12] [emoji12]
Vizuri sana shemeji ila kuhonga nacho ni kipaji ujueHahaaa. Basi ukianza nitakutafuta bwana shemeji
Hahaaa mbona hueleweki mkuu, pesa ndiomuhimu au kitanda.Sio mjue kuhonga tu, pia kitandan mjitahid sio kwakua umenihonga basi unajua ndo ushamaliza kila kitu, performance muhim pia sio kitandan unageukageuka tu ka chatu anavua ngozi, bt kumbuken pesa ndo muhim zaid hapo, performance ni kachumbar tu.
Na wewe huna hicho kipaji ndio mana tangu Novemba mwaka jana hujahonga. [emoji2] [emoji2]Vizuri sana shemeji ila kuhonga nacho ni kipaji ujue
Dini hairuhusu kuolewa mara mbiliKama bado hujaolewa basi jitahidi sana uolewe.
Nimesema msijisahau chumban hata kama mnatuhonga bt pesa ndo mpango mzmaHahaaa mbona hueleweki mkuu, pesa ndiomuhimu au kitanda.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] yani sina kabisa aiseeeeNa wewe huna hicho kipaji ndio mana tangu Novemba mwaka jana hujahonga. [emoji2] [emoji2]
sasa ndio umeandika nini unajitekenya mwenyewe na kucheka.hahahahSio mjue kuhonga tu, pia kitandan mjitahid sio kwakua umenihonga basi unajua ndo ushamaliza kila kitu, performance muhim pia sio kitandan unageukageuka tu ka chatu anavua ngozi, bt kumbuken pesa ndo muhim zaid hapo, performance ni kachumbar tu.
Shishangai mana ndio ugonjwa wenu. Ila huo hauhitaji kwenda hospitali kweli?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] yani sina kabisa aiseeee
Wenyewe unahitaji mtu wa kuweza kukivumbua icho kipaji maana wanawake mko tofauti ujueShishangai mana ndio ugonjwa wenu. Ila huo hauhitaji kwenda hospitali kweli?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti kipaji lolWenyewe unahitaji mtu wa kuweza kukivumbua icho kipaji maana wanawake mko tofauti ujue
ha ha ha haInauma sana...nimekutana na DEMU siku nne kabla ya Mwezi Mtukufu kuanza..Siku mbili kabla Demu kanipiga mzinga KIDUME nikajitutumua nikampa KIASI alichohitaji na ziada juu.
Suku moja kabla ya kuanza MFUNGO nikamwambia "naona kwa sasa hakuna kitakacho fanyika...nashauri swala la PA**CHI itakuwa ni baada ya MFUNGO...
Tulikubaliana vizuri....ajabu mwenzangu uvumilivu umemshinda, nilisikia (na sasa nimeshuhudia) rafiki yangu wa karibu anajilia mzigo ndani ya MFUNGO...
Nimechoka kwa kweli..