Karibuni DP World, tunahitaji majengo marefu Posta na Kariakoo

Karibuni DP World, tunahitaji majengo marefu Posta na Kariakoo

Yaani wewe unawaza maghorofa ambayo siyo yako, unaacha kupigania revenue sharing ambayo itakusaidia kama mwananchi!

Tuna watu wa ajabu sana nchi hii.
Huyo ana akili mbovu sana na anawakilisha asimilia kubwa ya watanzania kwa kuwa akili zao ziko hivyo. Akili za kitumwa kabisa, wakiona watu weupe wanawaona miungu. Utumwa unaanzia kwenye fikra. Kama huyu jamaa anajiona ni mtumwa basi ni mtumwa kweli. Sijui Africa tuna laana gani.
 
Back
Top Bottom