SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
-
- #61
Watakao kufadhili ukumbi,chakula,kofia,n.k wanatosha kuwa wafadhili wako milele kwani pesa itakayotumika na kumlipa Malema ktk gharama zote ni kubwa mno.Tunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;
MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana
UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.
MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)
NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
Arusha Declaration Alliance then utegemee kiwe cha kitaifa! Jina Arusha litawafanya wa Mikoa mingine wajione kubaguliwaTunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;
MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana
UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.
MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)
NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
Mkuu fisadi lenu liko wapi maana halionekani siku hizi.Hata uzinduzi wa ACT mgeni mwalikwa alikuwa JULIUS malema lakini mwisho wa siku hakutokea.
mkuu sisi wa mikoani hamuwezi kufanya utaratibu wa kuturushia nauli ili tuungane kuikomboa nchi yetuTunatafuta wanachama wa kukidhamini chama tunachotaka kukisajili hivi karibuni jina la chama (tunapendekeza kiitwe - Arusha Declaration Alliance kinachofuata misingi ya Azimio la Arusha. Tafadhali tukutane;
MUDA: 02 Juni, 2016 kuanzia saa 8 mchana
UKUMBI: RAMADA ENCORE HOTEL, City Centre, Opposite Exim Tower (Posta Mpya) - Dar es Salaam.
MGENI WA HESHIMA: JULIUS MALEMA (MB) kutoka Afrika ya Kusini
MAWASILIANO: +255 654 828025 (Ms. Warda - Kaimu Katibu Mwenezi & Mr. Frank - 0715734747 Kaimu Mweka Hazina)
NB: T-shirt, Kofia, Khanga, Chakula, Vinywaji na Nauli (Tshs. 30,000/=) vitatolewa kwa watakaohudhuria
naibu spika ameingia matatani kwa kauli kama hiyo .Bwege wewe
Haha[emoji23] hii salamu yenu imenichekesha saana.Hiki ni chama cha WAZAWA wenye uchungu na nchi hii, tumejikita na kujipambanua katika misingi ya Azimio la Arusha. Chama kinajiendesha kwa michango ya Wanachama, pia tumejikita kwenye Tumejikita katika kilimo .
*** SALAMU: AZIMIO LA ARUSHAAAA.....
TUNAITIKIA: NI LETU SOTEEEE>>>>>
Watanzania hawana haja na vyama njaaa, watanzania wanataka maendeleo,Wale mikoani na Dar City Centre wasiliana na WAWAKILISHI wetu;
Mwanza, Ms. Tina: 0719747965
Morogoro, Ms. Salma Bonge 0719688419
Dar City Centre, Ms. Jack 0718984718