View attachment 87873
Kucheza rafu hatutaki.
ili udokoeMi naomba niwe msevia watu hasa huo ugali kwa kwa mi nina nguvu za ziada
ili udokoe
kuonjaonja huko ohooo haya we!!endelea kuonjawewe wakati mpakuaji huwa anaonja huwa hadokoi wewe na mi si nitaonja tu.
kuonjaonja huko ohooo haya we!!endelea kuonja
utanogewa mtoto na wewe ukishanogewa utanipa shida m....Kwani nikionja nitafanyaje?em mi usintishe huko bana mi ntaonja tu mbona?
utanogewa mtoto na wewe ukishanogewa utanipa shida m....
key board iliishiwa wino nilitaka kusema m.... wino ukaishashida gan?i em itaje niijue.
key board iliishiwa wino nilitaka kusema m.... wino ukaisha
Hii bado haijawafikia akina Okonkwo. Kule Umofia kuna jamaa alitandika kitu cha Yam foo foo na egusi soup kiasi watu waliokaa upande mmoja hawawaoni wa upande wa pili. Ilipofika jioni wakati mlima umepungua ndipo jamaa mmoja akagundua kumbe na shemeji yake naye alikuwepo, ndipo sasa wakasalimiana kwa kupeana mikono juu ya masalia yaliyokuwapo mezani
haya mtoto mzuri eehHaya basi nasubiri uongeze wino uniambie sawa eeeeehhhh?