Karibuni Chakula,

Mkuu Mbuzi Mzee acha kutuzengua. Nilipoona bandiko lako nilitegemea kukuta majani kumbe nawe huwa unabukanya mahajumati wanayokula binadamu! Basi enjoy ila mimi hunipati naogopa kiribatumbo na kuongeza mifuta mwilini mwangu.
 
Mie sili kiti moto kwa vile ana mafuta mengi. Hata ngamia sili kwa sababu aliharamishwa sawa na kitimoto wibari na sungura. Hivyo mzee Mbuzi na Mzizimkavu mnaweza kuendelea kujichana mihanjumati yenu ya kiti-fire au tuseme hotchair.
Mkuu wajingawatu Mkuu Mbuzi Mzee hawezi kula Kitomoto labda tumuulize mkuu Father of All huenda anakula yeye.
 
Rosti na michuzi ni vitu viwili tafauti! Naogopa kukualika rosti kwangu usije ukataka kuhamia. Rosti ya michuzi hivyo mie siwezi kuila.
Mbona rosti la hiyo kitu linaogeleaga, King'asti? Au wewe mgeni wa hii kitu?
 
Last edited by a moderator:
Nimependa vyombo tu!
Kwetu chakula cha hivyo ni matunda(ndizi) na pia ni cha ndege(nyali aka ubeche) na NYAMA nimesitisha kula labda niwe nimechinja mwenyewe tu...
Kungekuwa na NGUNGA la mawele poa sana!
 
Mbuzi Mzee na wewe bana. Leo tena nasikia ulienda DISCO......

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…