Mkuu itakuwa ni mchana kweli lkn walaji huenda ni weusi wanaoweza leta Giza..😂Hapo ni mchana au jikoni kuna giza, si unaweza pika na mafilifili..
Sawa boss ongeza unga kitu kiwe kama tofali ya moramuUgali umepikwa na mm mwenyewe kidume,mke kakimbia changamoto