Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

1. Kwamba CCM hawawezi kushindana
2. Kwamba kura zinaibiwa
3. Watu wa Mama ndiyo watekaji
4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao
5. CCM ni chama cha kifamilia

Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform chaguzi hazina maana vikundi vya jamii sasa vinaelewa, viongozi wa zamani wa CCM wanaelewa, na watanzania wanaelewa
 
Hakika Lissu ana maono
 
Tunaowakataa Ccm Na Mtandao Wake Tuna Ambiwa Sio Wazalendo,
Mara Tunatumiwa Na Mabeberu
Mara Tutaleta Vita Nchini,tuwakatae Wapinzani
Hizo Ndio Hoja Kuu Za Ccm.
Wanataka Wote Tuunge Mkono Juhudi Za Chama.
 
Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha

1. Kwamba CCM hawawezi kushindana
2. Kwamba kura zinaibiwa
3. Watu wa Mama ndiyo watekaji
4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao
5. CCM ni chama cha kifamilia

Unasema "KARIBU YOTE", kwani kuna mengine yepi CHADEMA wameshindwa? Ebu yataje, ukianza na Uchaguzi kumbe utakuwepo.

Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform chaguzi hazina maana vikundi vya jamii sasa vinaelewa, viongozi wa zamani wa CCM wanaelewa, na watanzania wanaelewa
 
Kwenye kulinda amani CCM ndo uwa nashangaa kwa hiyo chama kingine kushika Dora ni vita tayari wakisema mambo ya Msingi utasikia wanataka kuleta taharuki wanatumika na mabeberu wakati deni la Taifa Trilion 116 tufike kipindi hii nchi kutapate katiba yenye kutupa viongozi wanaochaguliwa na watu
 
Back
Top Bottom