Karibu yanikute.......

Ni pale unapomsomesha mtoto mpaka anamaliza msingi kwa ada za mil 3 kila mwaka,ukidhani ni wako dhen unakuja ambiwa ni wa jamaa mwingine ambaye mmefanana sana,naye alikuwa anapiga hapo nyumba ndogo yako.unaenda DNA unakuta kweli vinasaba haviendani.

Na ni mtoto pekee wa kiume uliyedhani umebahatisha kutoka nje,tofauti na watatu wa kike kutoka kwa mkeo wa ndoa.

Hahahaaaa.

Aisee bakini njia kuu,michepuko sio ishu.
 

mi sitaki kusema sana mkuu,hapo lazima ukamsimulie waifu,tena umuombe ushauri kabisa
 
Hiyoitakuwa imeshapandishwa hadhi kuwa nyumba kubwa. Sera za nyumba ndogo ni kufukia mashimbo ya vishindo vya nyumba kubwa, hivyo kwa nyumba ndogo kukiuka hilo na yenyewe inaangukia ama kwenye nyumba kubwa ama kujifuta katika usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…