Karibu uwekeze kwenye biashara ya magari used

Biashara yoyote mtaji ni nguvu yako tahadhari kubwa uielewe biashara yenyewe na uipende lakini uifanye kwa uaminifu na ukikua kimtaji unaweza kwenda kulenga gari bei chee hadi zambia, malawi maana huko hua wanajiuzia magari bei chee tu, kikubwa tahadhari na umakini mkubwa unaelenga ist hauwezi kulingana na anaelenga greda au skaveta,
Ukilenga magari ya Zambia vipi process ya kuipitisha mpakani hadi ifike Bongo ikoje?na kuisajili haina mlolongo mrefu?
 
Back
Top Bottom