House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Nataka Nyumba ya vyumba viwili,sebure, dyining room, iweMJINI KATI GOROFANI bajeti yangu isizidi mil 1 kwa miezi sita kuwepo na parking pia Namba yangu njoo inbox
 
Nataka Nyumba ya vyumba viwili,sebure, dyining room, iweMJINI KATI GOROFANI bajeti yangu isizidi mil 1 kwa miezi sita kuwepo na parking pia Namba yangu njoo inbox
Ninazo nyumba zenye sifa kama hizo SITA lkn majirani zako watakuwa WAHINDI KK simu yako naona haipo what's up njoo mjini uzione au tafuta Namba IPO what's up nikutumie mapichapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…