Karibu upate Elimu ya Bima bure

Karibu upate Elimu ya Bima bure

Joined
Jan 7, 2019
Posts
8
Reaction score
4
Tutakua tunatoa elimu ya Bima kwenye ukurasa huu wetu.
Na kuanzia 23 January tuta anza na bima ya maisha.
Tupe maoni yako njia bora ya kuwasilisha elimu hii ya Bima.
Pia tutapokea na kujibu masuali yenu
Karibuni.

Travel_Quote_007.jpeg
pan%20ocean%20sticker%5B2057%5D.jpeg
1a48091b1aa772e1d2742ec622d39434.jpeg

Nini Bima ya Maisha?

Watu wengi wanaona tabu kuongelea kifo lakini ukweli kifo ni jambo moja ambalo hatuwezi kulikwepa ni lazima. Siku na tarehe ya kifo hakuna anae jua lini kitamtokea. Hivo katika Maisha yetu haya tunapaswa kujitayarisha na kifo. Tunatakiwa tujiulize jee nikiondoka leo Watoto wangu mke wangu au mume wangu watakwenda wapi? Nani atawatunza ? nani atalipa deni langu? Nani atalipa ada za shule za Watoto?

Suhulisho la mawazo hayo ni Bima ya Maisha
Bima ya Maisha ni bima inayo chukuliwa na Mtu binafsi au kikundi kulinda kipato baada ya kifo na kwa ajili ya kuwekeza uzeeni wakati kifo kikitokea kwa ajili ya wanaokutegemea.

Sasa hivi Bima ya Maisha pia ina kinga dhidi ya ulemavu wa kudumu na ‘critical illness’
Bima ya maisha imekusudiwa kuchukua nafasi ya mapato ambayo yamepotea baada ya kifo cha mwenye Bima ambaye ndie Baba au Mama anaetunza familia yake.
Bima ya Maisha huchukuliwa kwa ajili ya:
• Gharama na mipango ya mazishi?
• Kulipia deni la Bank au vicoba kama kifo kitatokea kabla kumaliza deni. Hivo kuepusha kuuzwa kwa dhamana kama nyumba.
• Kuhakikisha Watoto wanao achwa na Mzazi wana endelea na Elimu yao bila ya matatizo ya fedha.
• Mapato baada kustaafu

Zipo aina nyingi za Bima ya Maisha kutegemea mahitaji ya Mteja , mfano
Bima ya Maisha
Bima ya Elimu
Bima ya gharama za Mazishi
Bima ya Maisha na uwekezaji
Bima Maisha ya Mkopo

Bima ya Maisha ni muhimili wa familia na Kwa kutumia maneno ya “Baba wa Bima Bangladesh” Khuda Buksh…
“ Bima ya Maisha ni silaha ya kisayansi ya kiuchumi,Ni chombo cha kuweka akiba na kuwekeza. Ni ngome dhidi ya Majanga yatakayo sababishwa na kifo, maradhi , uzee na ajali.
Ni mfumo mzuri wa kutegema wa fedha na mapato , Ni kivuli kizuri kwa wajane ,Milo mitatu kwa Watoto na uzeeni,Elimu kwa Watoto,Pensheni kwa wastaafu , ni hakikisho la chakula , mavazi , na mahali pa kuishi wakati wa matatizo”
 
Mtakapoanza kesho, anzeni kujibu maswali yafuatayo;-

1. Kwanini katika kuwashawishi watu wajiunge na Bima zenu mfano Bima ya Maisha huwa hamuwaambii ukweli?
Mfano hampo tayari kuwaambia watu kuwa mteja hurudishiwa fedha yake kama ilivyo (bila faida) mara baada ya Bima yao kuiva

2. Kwanini pindi Bima ya mteja inapoiva huwa mnachelewa sana kulipa fedha yake, wakati mteja amevumilia kwa kukatwa miaka 3,6,9 au zaidi? Baada ya Bima kui a, kuna baadhi ya watu wanacheleweshewa hadi miaka miaka 2, hamuoni kuwa, kuna wateja watakufa huku bado mmeshikilia fedha zao?

3. Bima ya Maisha ni mkataba kati ya mteja na kampuni husika ya Bima, je kwanini mteja anapoamua kujitoa kwenye bima (mkataba) huwa hampo tayari?

4. Maswali mengine yatakuja kwa kadiri mada itakavyokuwa inakwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mc cane

Asante kwa Masuali yako na tunapenda kukujibu kama ifuatavyo:

1. Ni kweli kwenye Soko la Bima Kulikua na Mawakala wengi ambao hawana utaalam wa Bima na wasio fata Miiko ya Kazi zao. Mwakala hawa wengi waliajiriwa kiholela na Insurance Companies ambao ndio Wanao toa Bima.
Kwa sasa Mamlaka ya Bima Tanzania TIRA imefuta matumizi yote ya Madalali wasio sajiliwa na Mamlaka hio hivo matatizo kama hayo yamepungua sana.
Mwisho ni Muhimu kuchagua Dalali/Broker wa bima unayemwamini na mwenye ujuzi na Uzoefu.
Brokers ni washauri wazuri wa Masuala ya Bima hivyo tunashauri kuwatumia ili upate kinga sahihi kama unavo tarajia.

2. Suala la Kucheleweshwa Fidia
Sheria za sasa haziruhusu kabisa Kmpuni ya Bima kuchelewesha Kulipa fidia kwa wateja wao. Mfano Madai ya Bima za kawaida Kampuni ya Bima Imepewa siku 90 tu iwe imeshalipa madai baada ya kusaini Ankara ya malipo. Kuna mapendekezo kupunguza Muda huu hadi siku 15 na tunatarajia mwaka huu mabadiliko yataanza kufanya kazi.Hata Hivyo Tatizo hili lipo hasa kama Mteja amechukua Bima yake moja kwa moja kwa Kampuni ya Bima. Ushauri wetu ni vema wateja wakachukua huduma zao kwa Brokers ambao moja ya kazi zao ni kuhakikisha mteja anapata haki yake kwa mujibu wa taratibi za Bima.Kwa ufupi hakuna sababu zozote kama masharti yote umetimiza kucheleweshwa kwa madai yako.Sasa Hivi kuna TANZANIA INSURANCE OMBUDSMAN kitengo maalum cha kupokea malalamiko ya madai ya Bima. Pia TIRA nao hupokea malalamiko ya uchweweleshaji wa fidia.Hivo ushauri ni kutumia njia hizo pale unaona madai yako yana cheleweshwa bila ya sababu za msingi.

3. Suala La kuvunja mkataba na kurejeshewa Malipo.
Bima za Maisha zipo nyingi na kila moja ina masharti yake. Zipo ambazo zinarudisha sehemu ya Malipo Ulofanya baada ya Muda Fulani na nyengine hazirudishi unapo amua kujitoa. Kumbuka
Kununua bima ya maisha ni sawa na kununua bima ya gari. Hakikisha Unafanya kazi na Broker wa Bima ambaye atakusaidia kukupa Options tofauti za bima na faida na hasara zake . Moja ya Umuhimu wa kuchagua Broker ni kuwa na uwezo wa kukupa aina tofauti bima tena kutoka makampuni tofauti ya Bima za Maisha
Hivyo elimu ni muhimu sana kabla ya kuamua kuchukua Bima ya aiana yote ile.
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS LTD
www.panoceanic.co.tz
 
Tutakua tunatoa elimu ya Bima kwenye ukurasa huu wetu.
Na kuanzia 23 January tuta anza na bima ya maisha.
Tupe maoni yako njia bora ya kuwasilisha elimu hii ya Bima.
Pia tutapokea na kujibu masuali yenu
Karibuni.

Nini Bima ya Maisha?

Watu wengi wanaona tabu kuongelea kifo lakini ukweli kifo ni jambo moja ambalo hatuwezi kulikwepa ni lazima. Siku na tarehe ya kifo hakuna anae jua lini kitamtokea. Hivo katika Maisha yetu haya tunapaswa kujitayarisha na kifo. Tunatakiwa tujiulize jee nikiondoka leo Watoto wangu mke wangu au mume wangu watakwenda wapi? Nani atawatunza ? nani atalipa deni langu? Nani atalipa ada za shule za Watoto?

Suhulisho la mawazo hayo ni Bima ya Maisha
Bima ya Maisha ni bima inayo chukuliwa na Mtu binafsi au kikundi kulinda kipato baada ya kifo na kwa ajili ya kuwekeza uzeeni wakati kifo kikitokea kwa ajili ya wanaokutegemea.

Sasa hivi Bima ya Maisha pia ina kinga dhidi ya ulemavu wa kudumu na ‘critical illness’
Bima ya maisha imekusudiwa kuchukua nafasi ya mapato ambayo yamepotea baada ya kifo cha mwenye Bima ambaye ndie Baba au Mama anaetunza familia yake.
Bima ya Maisha huchukuliwa kwa ajili ya:
• Gharama na mipango ya mazishi?
• Kulipia deni la Bank au vicoba kama kifo kitatokea kabla kumaliza deni. Hivo kuepusha kuuzwa kwa dhamana kama nyumba.
• Kuhakikisha Watoto wanao achwa na Mzazi wana endelea na Elimu yao bila ya matatizo ya fedha.
• Mapato baada kustaafu

Zipo aina nyingi za Bima ya Maisha kutegemea mahitaji ya Mteja , mfano
Bima ya Maisha
Bima ya Elimu
Bima ya gharama za Mazishi
Bima ya Maisha na uwekezaji
Bima Maisha ya Mkopo

Bima ya Maisha ni muhimili wa familia na Kwa kutumia maneno ya “Baba wa Bima Bangladesh” Khuda Buksh…
“ Bima ya Maisha ni silaha ya kisayansi ya kiuchumi,Ni chombo cha kuweka akiba na kuwekeza. Ni ngome dhidi ya Majanga yatakayo sababishwa na kifo, maradhi , uzee na ajali.
Ni mfumo mzuri wa kutegema wa fedha na mapato , Ni kivuli kizuri kwa wajane ,Milo mitatu kwa Watoto na uzeeni,Elimu kwa Watoto,Pensheni kwa wastaafu , ni hakikisho la chakula , mavazi , na mahali pa kuishi wakati wa matatizo”
 
Asante kwa majibu

KUHUSU MALIPO YA BIMA ILIYOIVA KUCHELEWA

Umesema mteja anapaswa kulipwa ndani ya siku 90 mara baada ya kusaini ankara, je zoezi la kusaini ankara likichelewa (mfano ichukue miezi 6)hamuoni suala la ucheleweshaji wa malipo lina kuwa pale pale?
Mc cane

Asante kwa Masuali yako na tunapenda kukujibu kama ifuatavyo:

1. Ni kweli kwenye Soko la Bima Kulikua na Mawakala wengi ambao hawana utaalam wa Bima na wasio fata Miiko ya Kazi zao. Mwakala hawa wengi waliajiriwa kiholela na Insurance Companies ambao ndio Wanao toa Bima.
Kwa sasa Mamlaka ya Bima Tanzania TIRA imefuta matumizi yote ya Madalali wasio sajiliwa na Mamlaka hio hivo matatizo kama hayo yamepungua sana.
Mwisho ni Muhimu kuchagua Dalali/Broker wa bima unayemwamini na mwenye ujuzi na Uzoefu.
Brokers ni washauri wazuri wa Masuala ya Bima hivyo tunashauri kuwatumia ili upate kinga sahihi kama unavo tarajia.

2. Suala la Kucheleweshwa Fidia
Sheria za sasa haziruhusu kabisa Kmpuni ya Bima kuchelewesha Kulipa fidia kwa wateja wao. Mfano Madai ya Bima za kawaida Kampuni ya Bima Imepewa siku 90 tu iwe imeshalipa madai baada ya kusaini Ankara ya malipo. Kuna mapendekezo kupunguza Muda huu hadi siku 15 na tunatarajia mwaka huu mabadiliko yataanza kufanya kazi.Hata Hivyo Tatizo hili lipo hasa kama Mteja amechukua Bima yake moja kwa moja kwa Kampuni ya Bima. Ushauri wetu ni vema wateja wakachukua huduma zao kwa Brokers ambao moja ya kazi zao ni kuhakikisha mteja anapata haki yake kwa mujibu wa taratibi za Bima.Kwa ufupi hakuna sababu zozote kama masharti yote umetimiza kucheleweshwa kwa madai yako.Sasa Hivi kuna TANZANIA INSURANCE OMBUDSMAN kitengo maalum cha kupokea malalamiko ya madai ya Bima. Pia TIRA nao hupokea malalamiko ya uchweweleshaji wa fidia.Hivo ushauri ni kutumia njia hizo pale unaona madai yako yana cheleweshwa bila ya sababu za msingi.

3. Suala La kuvunja mkataba na kurejeshewa Malipo.
Bima za Maisha zipo nyingi na kila moja ina masharti yake. Zipo ambazo zinarudisha sehemu ya Malipo Ulofanya baada ya Muda Fulani na nyengine hazirudishi unapo amua kujitoa. Kumbuka
Kununua bima ya maisha ni sawa na kununua bima ya gari. Hakikisha Unafanya kazi na Broker wa Bima ambaye atakusaidia kukupa Options tofauti za bima na faida na hasara zake . Moja ya Umuhimu wa kuchagua Broker ni kuwa na uwezo wa kukupa aina tofauti bima tena kutoka makampuni tofauti ya Bima za Maisha
Hivyo elimu ni muhimu sana kabla ya kuamua kuchukua Bima ya aiana yote ile.
PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS LTD
www.panoceanic.co.tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shankal Mc cane
Ukisoma maelezo vizuri nimeeleza Kampuni za Insurance haitakiwi kuchelewesha malipo ya madai yalio kamilika. Sheria inamlinda mteja na pia kuna Ombudsman Commettee inayo shughulika na malalamiko ya madai.
Ushauri mwengine ni kutumia Brokers kwa mahitaji yako ya bima . Broker ni washauri wako katika masuala ya bima.
Sasa hivi soko la bima Tanzania kupitia Taasisi za Brokers na Makampuni ya Bima, TIBA na ATI pia yanapokea malalamiko kama haya.
Sio sawa Kucheleweshwa mdai ya mteja.
Ikiwa kampuni yoyote imekuchelewesha bila sababu tafadhali ripoti kwenye Association hizo utasaidiwa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Asante mkuu kwa majibu yako, lakini kiukweli hujanijibu kwa nini? Hujasema kwanini kujitoa huwa inakuwa ngumu wala kwanini malipo huwa yanachelewa? Ulichofanya ni kunipa tu mbinu za kufanya endapo mambo niliyouliza yatajitokeza

Kwa bahati mbaya Mashirika ya Bima (kama sio yote, basi niseme mengi) huwa yanavutia sana wateja kipindi cha kutangaza sera, lakini wateja wakishaingia/wakishajiunga huwa wanateseka sana . Mimi kuna mtu namfahamu, anakimbilia mwaka wa pili bado hajalipwa fedha iliyoiva miaka 2 iliyopita, huyu kwa hakika hawezi kuwa balozi mzuri wa mifuko ya bima kwa watu ambao bado hawajajiunga
shankal Mc cane
Ukisoma maelezo vizuri nimeeleza Kampuni za Insurance haitakiwi kuchelewesha malipo ya madai yalio kamilika. Sheria inamlinda mteja na pia kuna Ombudsman Commettee inayo shughulika na malalamiko ya madai.
Ushauri mwengine ni kutumia Brokers kwa mahitaji yako ya bima . Broker ni washauri wako katika masuala ya bima.
Sasa hivi soko la bima Tanzania kupitia Taasisi za Brokers na Makampuni ya Bima, TIBA na ATI pia yanapokea malalamiko kama haya.
Sio sawa Kucheleweshwa mdai ya mteja.
Ikiwa kampuni yoyote imekuchelewesha bila sababu tafadhali ripoti kwenye Association hizo utasaidiwa.

Sent from my iPad using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali msaidie kupeleka malalamiko yake kama nilivo eleza atasaidiawa.
Ndugu kama policy yako inaruhusu withdrawal lazima ulepwe.
Na kama Bima ya Jamaa yako iva anastahiki kulipwa haraka. Kwanini anacheleweshewa ? Msaidie kupeleka malalamiko yake kwenye Jumuiya na TIRA . Wapo wachache wanao haribu nia nzuri ya Bima usifiche jina la kampuni linalo haribu. Kuna link ya Whistle Blower kwenye mtandao wa TIRA ingia huko masaidie nduguyo
Pamoja tutafika.
Nest time wasikiana nasi kwa ushauri wa Bimazako

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Sawa

Back
Top Bottom