Karibu ule kwa macho

Karibu ule kwa macho

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
5,289
Reaction score
3,127
Habari zenu wana JF,

Huko kwetu nilikozaliwa na kukulia kwenye utamaduni mzuri, kitu kizuri unakula na nduguyo. Sasa nawakaribisheni japo mle kwa macho.

Je, hicho chakula ni kitamu ? Mbona unaangali tu bila kusema neno. Naomba maoni yako ili niweze kukiboresha.
 

Attachments

  • Karibuni chakula.JPG
    Karibuni chakula.JPG
    840.5 KB · Views: 309
Hivi kwanini kitu chochote ambacho wanaita haramu kinakuwa kitamu sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom