strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,305
Hahaha ni patashika!Hahahahaa kwa wapenda Makalio sasa, unanunua hayo maua unayaweka mbele ya nyumba yako. ukiingia unafurahi, ukitoka raha tuuuupu, ukiona bado haitoshi unachukua maua mengine unayaweka chumbani kwako kabisa
Halloo mimi simo!!Wa katikati mchaga bila shaka.