Mkuu hongera kwa kuanza hatua za kuanza kujikwamua kiuchumi kupitia sekta ya kilimo,ila ningekushauri hilo shamba lima mihogo kwa maana uwanda huo mpaka mkata ndio zao lenyewe na milimao itakuwa vizuri kabisa bila shida yoyote.
Safi sana
Mimi kidogo niko nje ya mada baada ya kuona umezungumzia limao.
Sisi kwetu tunalima limau na ndimu sana lakini changamoto ni soko (hakuna bei), hadi kufikia bei ya juu maana yake msimu umeisha.
Nawezaje kuhifadhi ili niuze baada ya msimu.