Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

ila sjaona utofauti kati ya ordinary na higher coz vyote ni vinasomwa miaka miwili
...also ningependa unitajie ni vyuo vipi vinavyotoa hgher diploma
Anaemaliza form four then akaomba diploma kama ana vigezo hiyo ni ordinary,anaemaliza six akaomba diploma hiyo ni higher ambayo zaman ilikuwa advanced dip.Kama hujaelewa hapo sina namna tena.

Vyuo vipo kibao lakini sijajua unataka vya course IPI?.
 
kozi ya sheria
 
Nyie hamjaielewa hii sirikali tu...lengo lao kubwa ni kuhakikisha idadi kubwa ya wanafunzi wanapata mkopo! Je, watapataje? Wakafyeka gpa na grade ili idadi iendane na bajet yao.
nakuunga mkono
 
Kuna course moja iko Sua inaitwa rural development iko poa sanaaa nayo inakufaa Kwa hgl
 
Naomba msaada pls ntazitambua vp program zenye ushindan na zilzokua hazina pls pls pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…