Kwa Form 6 hakuna vigezo vyovyote vipya. Utaratibu ni ule ule.
Mkuu kijana wangu amesoma PCB amepata 4.19 yaani S zote na F ya chemistry, anaweza kufanya nini kwa sasa???
Diploma chuo gani ,ni muda gani na gharama zake zikoje mkuu???Itambidi aanzie diploma, namuonea huruma sana. Kuna wakati fulani maisha yamewahi kunivalisha viatu alivyovaa huyo dogo leo.
HaweziKE_PCM_ECE point 13,sijui watamchagua au ndio tumftafutie genge la nyanya maana pesa ya diploma hamna?
Hawezi nini mkuu jazia nyama.Hawezi
Hawezi kwenda chuo kikuu hana D 2Hawezi nini mkuu jazia nyama.
Haya mkuu asante kwa mchango wako ngoja tusubili guide book.Hawezi kwenda chuo kikuu hana D 2
Yaani TCU hawataki kuona E kati ya masomo 2 yanayohesabiwa point hata kama ana AEE chuo atakisikia kwa wenzake.KE_PCM_ECE point 13,sijui watamchagua au ndio tumftafutie genge la nyanya maana pesa ya diploma hamna?
Asante mkuu ingawa nimeona tarifa kwenye gazeti la "HABARI LEO" la leo zikikanushwa hizo tarifa na Mr Mkaku kuwa sio zakweli ngoja niendelee kuvuta subira.Yaani TCU hawataki kuona E kati ya masomo 2 yanayohesabiwa point hata kama ana AEE chuo atakisikia kwa wenzake.
Fungua mwenyewe website ya TCU ujisomee simu na data unazo kwa nini usifungue website ya TCU ukasoma hilo tangazo?Asante mkuu ingawa nimeona tarifa kwenye gazeti la "HABARI LEO" la leo zikikanushwa hizo tarifa na Mr Mkaku kuwa sio zakweli ngoja niendelee kuvuta subira.
Hizo tarifa nimeziona,lakini pia kwa nini hawajatoa guide book ya 2016/2017?.Fungua mwenyewe website ya TCU ujisomee simu na data unazo kwa nini usifungue website ya TCU ukasoma hilo tangazo?
Sasa uwezo wa mtu unaupima Je?kwa matokeo haya ya kidato cha sita basi tutalijie vyuo vingi vikikosa wanafunzi na kubadili matumizi au vikifungwa kabisa hasa, mfano wanafunzi wengi walisoma sayansi wengi wana div.three ya ya 15 so vyuo kama SUA, BUGANDO, KCMC, IMTU, n.k vitakosa wanafunzi, na hatimaye vitafungwa na hatimaye watafugia kuku, serikali ijaribu kuliangalia hili kwa kina sana na mapana yake wasiangalie sana Arama alizopata mtu bali wa focus kwenye uwezo wa mtu.
Upotoshaji huu,,, chamsingi zifike point 4,,,E ni principle pass pia waliweka mfano wa D 2 kama minimum grades inayokupa points 4Yaani TCU hawataki kuona E kati ya masomo 2 yanayohesabiwa point hata kama ana AEE chuo atakisikia kwa wenzake.