Karibu "Tule" Sikukuu - Mwibara - Bunda

Hawa ni lazima watakuwa wasukuma tu, manaake wasukuma kwa ugali ni balaaa!
 
Aseee hiyo wanaishusha hao jamaa wawili tu au kuna wengine?
 
Huo ndio msosi wa mwanaume.
 
Hiyo Nyama sio ya Albino kweli!!!?? nadhani mifupa imo ndani ya Ugali sbb ya hilo panga
 
Hapo kwa hasira inabaki kachumbari 2.
 
Nimepakumbuka sana Bunda. Nilikuwapo huko mwaka 2005, kipindi cha uchaguzi. Nakumbuka Bunda ni kama njia panda. Barabara ya Mwz-musoma, kwenda Mwibara na pia Nyamuswa. Nilikuwa nalala guest inaitwa White house unapoanza tu barabara ya kwenda Nyamuswa. Ilikuwa kipindi cha uchaguzi. Watu wa Tarime walikuwa wanakimbilia Bunda maana hali haikuwa shwari huko! Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona ugali wa ulezi.

Umenikumbusha mbali sana Mkuu! Asante sana. Huo utakuwa ugali wa Muhogo!
 
:lol::lol::lol:
ungeweka ule ugali wa ulezi ndo unanoga,kitu hakisagiki adi kesho yake umeshiba
dah umenikumbusha first time bunda hapo nilishangaaje?ani nyama bei cheee za kumwaga na ugali mwekundu
 
aiseeee... hiyo tulikua tunaita Nguna enzi hizo
 
aiseeee... hiyo tulikua tunaita Nguna enzi hizo<!-- google_ad_section_end -->

Hiyo ni Ngunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…