yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,635
- 3,658
Habari wandugu,
Nimeona si vibaya tukaja hapa kubadilishana mawazo na kupeana uzoefu hasa katika suala la kazi (ajira) kutokana na wengi wetu kuhangaika sana kupata kazi.
Wewe mdau mwenye kazi ninaomba utueleze ulipataje hiyo kazi yako ya sasa (ulipitia hatua zipi).
Pia ni vizuri ukitueleza ulikaa kipindi gani bila kazi ulipomaliza masomo na ulikuwa unajishughulisha na nini kabla ya kupata kazi rasmi (ulikuwa unatumia njia zipi kuweza kusurvive mtaani).
Ninatumaini tutasaidiana kwa uwazi kwa sababu huu ni mtandao salama usiomuathili mchangiaji.
Na mods naomba huu uzi muuache hapa hapa usiende kule kwenye nafasi za kazi na tenda kwa sababu hapa hazitangazwi nafasi za kazi.
Karibuni wadau.