Karibu Tawassal vinywaji

Karibu Tawassal vinywaji

nonoly

Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Sasa huna haja ya kuwa na kamati kuuubwa ya vinywaji.. Tawassal Vinywaji ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vinywaji vyote vya jumla vya makampuni mbalimbali Tanzania km Pepsi, Cocacola, Azam, MeTL, TBL n.k
Huduma zetu
-Tunashauri ni vinywaji vya aina gani kutumika kwa sherehe ya aina gani, tunashiriki vikao vya sherehe kitengo cha vinywaji kama mteja atakua na uhitaji..

-Tunasambaza vinywaji kwenye sherehe za aina zote hapa Dar-es-salaam, kwa kukuletea oda yako bure mpaka mlangoni kwako.. Ofisi zetu zipo Kigamboni, tunapatikana kwa email: mohamedmriri17@gmail.com.. call waxap: 0719633603
 
Back
Top Bottom