Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
- Thread starter
-
- #21
kigambon ferikweli aisee ni pm unapatikana wap
Asante, lakini mimi si mwanaume wa dare salaam!
icho ni chakula kama chakula kngineAsante, lakini mimi si mwanaume wa dare salaam!
Supu ya pweza hiyo ndugu! Ina maana yake na si kama vyakula vingine!icho ni chakula kama chakula kngine
Maana gan tena iyo Ebu nitoe tongotongo machon mwanguSupu ya pweza hiyo ndugu! Ina maana yake na si kama vyakula vingine!
Dah...![emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
vp MshanaDah...![emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
farkhina njoo uone supu huku na mazagazaga yake!Njoo na pilipili mbuzi mbichiiiii ha ha ha
Njoo uchukue[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]naomba