Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Asante sanaa
Kwa hiyo wanawake hawatakiwi kula hiyo!Utakuwa unasumbuliwa na upungufu wa homoni ya testosterone...
Kwa hiyo wanawake hawatakiwi kula hiyo!
Ya kuchakachuliwa lakiniNdo supu ya pweza hiyo...
Hakuna anae katazwa kama unataka karibuKwa hiyo wanawake hawatakiwi kula hiyo!
karibu ndugu yanguNimeitamani sana.
Wabbi mabata hiyi kutu uwallahi ha?!?
daaah mpaka nimemeza mate
panga siku uje sasa ndugu yangudaaah mpaka nimemeza mate
kweli aisee ni pm unapatikana wappanga siku uje sasa ndugu yangu