TAJIRI WA MADINI
Member
- Feb 24, 2015
- 36
- 24
Kweli tuje huko, kwani Mpendwa wee wa MZA?! nasikia hakuna madafu wala nazi huko....!Karibuni Mwanza jamani
samaki round about hapo....
Ndani ya jiji la mwanza!
Haya ndo maeneo ya kujidai kwa warembo wetu akina charminglady, ram, miss neddy, Honey Faith, laki si pesa n.k
na makaka zetu wa uhakika like Rockcity native, Mr Rocky na wengineo weeeengi
KARIBUNI SANA MWANZA....
Anacheua maji kila siku, karibuni jamani mje mumuone samaki sato anavyocheua maji
hivi laki si pesa anakaa wapi? kigoto?
Jiji zuri, nitakuja siku kushangaa shangaa huko
Mwanza ndio home.Karibu sana
Karibu sana mkuu