Karibu nyumbani

Sasa ukitaka kukata gogo mpaka ushuke chini?, sasa ukiwa tumbo la kuhara hapo si utatabika sana?...
 
Hyo bembea ndo shider, ikikatika unaweza ukatoka roho kabla hujafa
 
Huyo anaye cheza na bembea nahisi nusu mfu nusu hai,aaaaagh
 
Mti uking'oka ghafla unaweza make headline
 
kama we ndo mwenye nyumba unatakiwa usiwe na bifu na watu maana usiku wa manane wanaweza wakaja na msumeno wa umeme wakakata mti....unadhani nini itatokea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…