karibu nyumbani

Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa.
 
kila mbuyu na shetani wake... Maisha ya uswazi siyo rahisi kubadilisha fasta!
 
Nlivyo zoea uswahili huko hapana chezea kabisa
 
aisee! mbona pazuri pakukaa....
 
Mbali huko sana ila masela wangepapenda sababu wangekuwa "wanamoka" tu no kelele wala hofu!!!!!!
 
Huku nitammis sana jirani yangu, hakunifai.
Mara nyingine nashindwa kuelewa wanatukanana, wanaongea kawaida, au ...
Siwezi kuishi kwa umri nilionao sasa manake kwa jinsi nilivyozoea uswahili matusi ni viunganishi vya kawaida sehemu kama hii hapana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…