Karibu Mwanza

Kwa sasa watu wengi hawafahamu namna mwanza inavyo expand . Kitendo cha kuigawa katika wilaya mbili mkuu yaani nyamagana na ilemela kumechochea sana mwanza kukuwa na kupanuka kwa kasi sana. kwa watu wanaoifahamu vyema mwanza ni wale wanatoka maeneo ya nje ya town ndo wanaweza ona namna mwanza inavyo kuwa kwa kasi. resident house zinzzojengwa maeneo mbalimbali ya mwanza ni standard sana.hivyo ni suala la muda mwanza itakuwa next level.
 
Project zinazofanyika mwanza ni kubwa sana. Nisuala la muda tu wadau.
 
napakubali sana Makoroboi


sent using JamiiForums mobile App
 
Kuwa mtu mzima halafu ukawa muongo muongo sio tabia njema kabisa.Mi nimeishi mwanza sijawahi kuona hiyo tabia tena nilikuwa naishi town kabisa mtaa wa uhuru.
[emoji23]panachoniudhi mwanza mjini wanaongea kisukuma ova wote wanaelewa hyo lugha[emoji57][emoji57]..mimi wakiniongeleshaga najibu kiswahil kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiko ni kama kijiji cha city niishio mimi...ila ahsante vipi nauli yake ni mia ngapi?
kutoka huku calfonia niishiko mimi...na vipi usafiri wake ni malori au bajaji?
California sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…